HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » Tanzia: Aliyekuwa kiongozi wa Freemason Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

Aliyekuwa kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Keshavji ‘Andy’ Chande amefariki Dunia.

Sir Andy amekuwa mwanachama wa Freemason kwa takribani miongo 6 tangu ajiunge. Alizaliwa Mombasa, Kenya Mei 7, 1928 ingawa wazazi wake walikuwa wakiishi Bukene Mjini, Mkoani Tabora.
Fuatilia historia yake zaidi :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: