Tatizo la uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi.
Wanaume
wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na inakera kupeana
Raha na Utamu na Mwanamke ambae sehemu zake za siri zinanuka.Inawatoa
out of the mood,mwisho wake wanaconcetrate kudo fasta,wamalize hamu zao
kila mtu aondoke.
Wapo
baadhi ya wanawake wanajijua wanasumbuliwa na hili tatizo lakini cha
kushangaza hawana muda wa kutafuta solutions za kumaliza tatizo
lao(wanaishia kuchekwa kuwa vituko vya mtaa bila kujijua bcoz hawajui
kuwa matatizo yao ya uke kutoa harufu mbaya,yanasimuliwa na wale wanaume
ambao washawahi kulala nao wakiwa wanapiga story na marafiki zao
maskani mtaani).
lakini
wapo wanawake wachache wenye busara,ambao wanajijua wanasumbuliwa na
hili tatizo na wangependa kujua sababu na jinsi ya kulimaliza,na hao
ndio wamenifanya mie niandike hii post
Nitaanza kuelezea sababu kisha nitaelezea ni jinsi gani unaweza kumaliza tatizo lako.
Sababu zinazosababisha uke kutoa harufu mbaya ni kama zifuatazo,
1.BACTERIAL VAGINOSIS
Kwa
mujibu wa madaktari bingwa,inasemekana kuwa hili ndio tatizo namba moja
linalosababisha uke kutoa harufu mbaya.Inawezekana ukawa msafi mpaka
mwisho lakini ukisumbuliwa na hili tatizo basi lazima uke wako utatoa
harufu mbaya.
Kila
uke una bacteria ambao wapo naturally kwa ajili ya afya njema ya uke
wako,Lakini kama ikitokea hawa Bacteria wakazidi na kuwa wengi kupita
kiasi ambacho uke wako unaweza kuhimili ndio hapo hiki kitendo kinaitwa
Bacterial Vaginosis.
Sababu zinazosababisha Bacterial Vaginosis hazijulikani
kwa usahihi lakini madaktari wanasema inaweza ikasababishwa na kitendo
cha kupeana Raha na Utamu bila condom especially kama vitu vilivyoingia
kwenye uke wako wakati wa kupeana Raha na Utamu vilikuwa vichafu(vitu kama vidole au mashine ya mwanaume,or may b dildo etc) au mara nyingine inatokea naturally bila sababu.
Ukitaka Kujua kuwa unasumbuliwa na Bacterial Vaginosis,utajikuta unapata Dalili zifuatazo;
Uke kutoa maji maji mazito au mepesi yenye rangi ya njano(yellow) au Brown yenye harufu mbaya
Maumivu kwenye maeneo ya kiuno au nyonga
Unaweza usipate au ukapata maumivu ya kichwa.
Uke wako unaweza ukawa unawashwa au usiwashwe (ur vagina might itch or not)
2.YEAST INFECTION
Hili
Pia ni Tatizo,lipo kama la Bacterial Vaginosis.tofauti yake ni kuwa
kwenye Bacterial Vaginosis waliokuwa wamezidi ni bacteria lakini huku
wanaozidi ni fungus candida albicans.
Ni wanawake wachache huwa wanapata Bacterial Vaginosis lakini wanawake wengi lazima wapate Yeast Infection japo mara moja katika maisha yao.
Mara nyingi Yeast Infection hutokea
Naturally au inaweza kusababishwa na aina ya vyakula au vinywaji
unavyokula au kunywa especially kama vimejaa yeast(vyakula vyote
vinavyotengenezwa na hamira,pombe etc)
Ukitaka kujua kama unasumbuliwa na Yeast Infection,utajikuta unapata Dalili zifuatazo;
Uke wako ukawa unawashwa au usiwashwe (ur vagina might itch or not)
Maumivu kama uke unaungua pale unapokuwa unajisaidia haja ndogo(when u pee)
Uke kutoa maji maji mazito yenye rangi nyeupe kama jibini(cottage cheese)
3.SEXUALLY TRANSMITTED DISEASES (STDs)
Kuna
baadhi ya magonjwa yanayosababishwa na kupeana Raha na Utamu bila
Condom,kama vile Chlamydia na Gonorrhea(kaswende na kisonono),kama
ukiyapata huwa yanasababisha Uke kutoa Harufu mbaya kwa sababu dalili
zake zinahusiana na kutokwa na maji maji yenye harufu mbaya.
4.VAGINAL OR CERVICAL CANCER
Unapokuwa una kansa ya uke au kansa ya mlango wa kizazi(cervical cancer),kutokwa
na maji maji yenye harufu mbaya ni sehemu ya dalili zake.Unapojiona
kuwa una tatizo la uke kutoa harufu mbaya,ni heri na itakuwa busara
ukienda hospitali,kama ni kansa ya mlango wa kizazi itakuwa sio ngumu
kuitibu kama ukiwahi mapema.
5.POOR HYGIENE
Inawezekana
pia tatizo la uke wako kunuka linasababishwa na uchafu. May b unaoga
mara moja tu kwa siku au siku nyingine hata hauogi. Hauna mazoea ya
kufua nguo zako za ndani(underpants),na ikitokea siku umezifua basi hata
hauzisugui zikawa safi.n.k
MAMBO UNAYOTAKIWA KUFANYA UKITAKA UKE WAKO USITOE HARUFU MBAYA
1.OSHA UKE WAKO KWA MAJI SAFI KILA UNAPOMALIZA KUJISAIDIA HAJA NDOGO(PEE)
Asilimia
kubwa ya wanawake hawana mazoea na utaratibu huu.Ni utaratibu muhimu
katika maisha ya kila siku ya mwanamke. Unapokuwa unajisaidia haja
ndogo,most of the tym lazima utakuwa umechuchumaa/umechutama(umesquat),haja
ndogo yako inapokuwa inatoka,lazima kutakuwa na mabaki kidogo kidogo
yatakurukia na kubakia kwenye lips za nje au za ndani za uke wako(labia majora or minora).
Hayo
mabaki baada ya muda yatachanganyika na jasho(sweat) na kutengeneza
harufu mbaya,kwa hiyo ili kujiepusha na yote haya,ni heri ukaosha uke
wako kwa maji safi kila ukimaliza kujisaidia haja ndogo.
2.UKIWA UNAOSHA SEHEMU ZAKO ZA SIRI,TUMIA MTINDO(STYLE) WA KUPELEKA MKONO KUTOKA MBELE KURUDI NYUMA
Kuna
baadhi ya wanawake teyari wameshazoea kusafisha sehemu zao za siri kwa
kupeleka mkono kutoka nyuma kuja mbele.Huu mtindo sio mzuri kiafya kwa
kuwa huko nyuma kuna Tigo(anus),na
kwenye Tigo kumejaa uchafu na bacteria wengi tu.Sasa wakati
unajisafisha,unapopeleka mkono nyuma unakuwa kama unazoa bacteria na
uchafu kutoka kwenye Tigo,halafu ukauleta mkono mbele unakuwa unawaacha
hao bacteria na uchafu kwenye uke wako. Na huo ndio mwanzo wa uke wako
kutoa harufu mbaya na kupata infections za ajabu ajabu.
Ukitaka
kuwa salama,haijalishi kuwa umemaliza kujisaidia haja kubwa au ndogo,au
wakati unaoga,ukitaka kusafisha sehemu zako za siri,tumia mtindo wa
kupeleka mkono mbele kurudi nyuma ili usije kuwaleta bacteria na uchafu
wa Tigo mbele.
3.VAA NGUO ZA NDANI ZENYE ASILI YA PAMBA(COTTON)
Pamba(cotton)
ina uwezo wa kupitisha hewa hata kama ni kidogo sana. Na sehemu za siri
za Mwanamke zinahitaji flow ya hewa inayopita,nyingine iwe inaingia na
nyingine iwe inatoka.Hii flow ya hewa hata kama ni ndogo itasaidia
kufanya sehemu zako za siri kuwa fresh muda wote na utapunguza uwezekano
wa uke wako kutoa harufu mbaya.
Na
pia punguza kuvaa nguo za kubana sana muda wote,nguo za kubana
zinasababisha majasho sehemu za siri na ukizingatia hamna flow ya hewa
kwenye sehemu zako za siri basi lazima hayo majasho yataanza kutoa
harufu mbaya.
4.USIVAE NGUO YA NDANI MOJA SIKU NZIMA
Kwa jinsi maumbile ya Mwanamke yalivyo,unatakiwa kubadili nguo ya ndani mara mbili au tatu kwa siku.
May
b ulivaa nguo ya ndani asubuhi,ikifika mchana,ingia ladies
room(bafuni/chooni),Vua Nguo yako ya Ndani,kisha unaweza ukaoga mwili
mzima(which is better) au ukasafisha sehemu zako za siri.Nguo ya ndani
uliyovua unaweza ukaifua(which is better) au ukaikunjakunja na kuiweka
ndani ya kipande cha khanga au kitenge ndio uweke kwenye handbag yako
ili kama ikitokea ukaopen handbag yako in public,watu wataona khanga au
kitenge,hawatojua ndani umeweka nini.
5.PUNGUZA KULA VYAKULA VYENYE SUKARI AU YEAST KWA WINGI
Unaweza
ukapunguza uwezekano wa kupata Yeast Infection au Bacteral Vaginosis
kwa kuacha au kupunguza kula vyakula vyote vyenye sukari au yeast kwa
wingi.
Vyakula hivyo ni kama vile vyakula vyote vinavyotengenezwa na hamira,pombe/bia n.k
Ukizidisha
Vyakula au vinywaji hivi,ina maana utakuwa unazidisha yeast mwilini,na
wakizidi kwenye uke utapata yeast Infection,mwisho wake uke wako utaanza
kutoa harufu mbaya.
6.BADILI PADS ZAKO MARA KWA MARA UNAPOKUWA KWENYE SIKU ZAKO
Ili
kuzuia uke wako usitoe harufu mbaya kipindi ambacho upo kwenye siku
zako,inashauriwa kubadili ur pad mara kwa mara(may b after each 4 or 6
or 8 hours,it will depend how many pads can u afford per day)
Kubadili
pads mara kwa mara kunasaidia ujisikie upo comfortable,inazuia bacteria
kujikusanya,inasaidia kupunguza uwezekano wa kupata infection na mwisho
inaondoa uwezekano wa uke wako kutoa harufu mbaya.
7.NYOA(SHAVE) NYWELE ZAKO ZA SEHEMU ZA SIRI MARA KWA MARA
Nywele
zako za sehemu za siri zinapokuwa ndefu,unakuwa umetengeneza
maficho(hiding place) ya kila aina ya uchafu kuanzia jasho,majimaji
yatakayokuwa yanakutoka ukeni ukiget aroused,mabaki ya haja ndogo n.k
Ili kuepusha yote haya ni heri ukawa unazikata nywele zako za sehemu za siri mara kwa mara.
8.NENDA HOSPITALI MAPEMA NA HARAKA TENA SANA
Yaani
hata usichelewe,kwani haya matatizo especially Bacteral Vaginosis na
Yeast Infection ni matatizo ambayo yanaweza kutibika kwa dawa.Ni heri
uwahi mapema ili uongeze uwezekano wa kupona haraka bila matatizo.
IMEANDALIWA NA DOCTOR JOH BLOG
-
No comments:
Post a Comment