Baada ya mechi saba za raundi ya 27 kukamilika leo, sasa ni wazi kuwa Simba wanaukaribia ubingwa wa ligi kuu ya Tanzani Bara msimu huu kwani hadi sasa inahitaji pointi mbili pekee kujitangazia ubingwa, huku Ndanda SC, Majimaji FC, Njombe Mji na Mbao FC zikiendelea kupigania nafasi ya kubaki ligi kuu msimu ujao.
-
No comments:
Post a Comment