| Hii Jeep ndio gari niliyokuwa nikiitumia nilipowasili Arusha |
| Moja ya wasanii wa Hip Hop kutoka A-town wakifanya yao…. |
| Jcb & Nakaaya walifanya show ya pamoja na ilikuwa kali sanaaa |
| Wasafi |
| Burudani haina mipaka… ikikolea mpaka kwa mshabiki huwa najitahidi nifike |
| Hatuishii juu ya stage…… popote kwetu ni burudani…. |



No comments:
Post a Comment