HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TAZAMA HAPA MATUKIO MBALIMBALI YANAYOENDELEA DUNIANI KOTE BAADA YA KUFARIKI KWA RAIS WA ZAMANI MZEE NELSON MANDELA KUFARIKI

 Bendela ya Umoja wa Mataifa ikiwa nusu mlingoti makao makuu huko New York nchini Marekani  kwa ajili ya kuomboleza kifo cha rais wa zamani wa Afrika ya Kusini alyefariki Desember 05, 2013
 Bendela  ya Ufarasa ikiwa nusu mlingoti kwa ajili ya kuomboleza kifo cha Mzee Nelson Mandela 
 Viongozi waliokuwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa  walisimama na kukaa kimya kwa takribani dakika moja kwa ajili ya kumwombea mzee Nelson Mandela aliyefariki Desember 05, 2013
 Bendela ya Uingereza ikiwa nusu mlingoti kwa ajili ya kuomboleza kifo cha marehemu Nelson Mandela
 Bendela ya Norway  ikiwa inawekwa nusu mlingoti kwa ajili ya kuombolezwa kwa kifo cha Rais wa zamani wa Afrka ya Kusini Mzee Nelson Mwandela

ENDELEA KUTIZAMA MATUKIO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Bendela ya Afika ya kusini ikiwa nusu mlingoti kwenye ubalozi wake  nchini Uingereza
 Wananchi wa Karachi nchini Pakstan wakiwa wamewasha mishumaa na  kuizungusha kwenye picha ya Mzee Nelson Mandela baada ya kutangazwa kwa kifo chake.
 Askali wa China akiwa kasimama kwenye ubalozi wa Afrka ya Kusini  kwenye mji mkuu Beijing nchini China























PICHA ZOTE NA YAHOO

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: