Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kama binadamu wa kawaida nilichojua pale ni kwamba Mr X au Dr Ben alikuwa ni shoga, kwa sababu haiwezekani ashikwe vile na kupigwa dole na mwanaume mwenzake. Ilikuwa haiingii akilini.
Kwa kawaida mwanaume rijali analinda sana vitu viwili katika mwili wake, cha kwanza ni zana zake lakini kingine ni makalio yake, haruhusu yashikwe hovyo hata kama na mwanamke. Sasa huyu Mr X kweli ni mzima?
Roho ikaanza kuniuma lakini nikaona cha msingi bora nifuatilie suala hilo kesho yake, tena kwa kuwa nilikuwa nimekubaliana naye kuwa atakuwa na mwanamke wake akiniruhusu niwaone wanavyofanya mapenzi ili nijifunze.
Nilirudi zangu nyumbani na kufanya mambo yangu kama kawaida, mume wangu naye siku hiyo alionekana amerudi akiwa amelewa na hii siyo tabia yake. Alirudi na kufikia kulala moja kwa moja.
Hapo nikaamua kumuacha zake na mimi nikaanza kuchati na Mr X. nikatuma meseji.
“mambo Mr X?” nilituma meseji hiyo huku nikisikilizia kama angejibu au kama alikuwa bize akiliwa kiboga na mwanaume mwenzake.
“poa tu mambo Madam.” Alijibu haraka kuliko nilivyotegemea.
“Somo lako la leo lilikuwa zuri sana,” nilimsifia nikitafuta njia ya kumuuliza alikuwa wapi baada ya kutuacha pale darasani?
“Kwani leo tumekutana?” aliniuliza swali juu ya swali Mr X nikajua tu pengine hakutaka nimjue kama yeye ni Dr Ben, lakini nikajiuliza kwanini anajificha wakati nilishajua ni yeye.
“ok tuache hayo vipi kesho utakuja na huyo mwanamke wako.”
“Yah nitakuja naye, itabidi nikuelekeze tutakapokutana. Lakini naye ameomba kuvaa maski uso mwake anaona aibu kuangaliwa,” alisema Mr X.
Japokuwa nilikuwa na wivu kiasi cha kujiuliza kama kweli nitavumilia kuwaona wakifanya mapenzi mbele yangu , lakini nikaona sina chakufanya maana Mr X alikuwa ni mjuvi na mimi nilikiri simuwezi hivyo bora niendelee kuwa mwanafunzi bila kujiinua na kujifanya najua kila kitu.
Baada ya kuwa na uhakika kuwa kesho Mr X atakuwepo kwa darasa hilo la mfano, basi na mimi nikajiandaa na kubeba hela kidogo ya malipo ya darasa hilo na kujihimu mapema mara tu kijua kilipoanza kukolea angani.
Tuliahidiana kukutana Magomeni Makuti huko nasikia kuna lodge yao ambayo wamezoeana na mhudumu wake maana sehemu nyingine tusingeruhusiwa watu watatu chumba kimoja.
Kama kawaida nilifika na kuwakuta wenyeji wangu yaani Mr X na mwanamke niliyeamua kumuita Mrs X wakiwa tayari wamefika huku wenyewe wakiwa ndani ya maski za kuziba sura zao. Lakini siku hiyo walikuwa wameziba macho tu tofauti na siku nyingine ambapo nilimuona Mr X akiziba uso mzima kama ninja.
Hivyo kidogo nilianza kuwaona hata sehemu za kidevuni na sehemu za kichwani hapo ndiyo kwa mara ya kwanza nikagundua kuwa huyu mtu niliyemuita kwa jina la Mr X hakuwa Dr Ben na hawakufanana sura hata kidogo. Kilichokuwa kikinichanganya mimi ni kufanana kwa sauti, urefu na ile rangi yake.
Nikaanza kupata wasiwasi na kwa mara ya kwanza nikajisikia mgeni kwa huyo Mr X japo kuwa kiukweli nilishafanya naye mapenzi mara kadhaa. Nikajikuta nikijutia kuingia kwenye mapenzi na mtu ambaye sikuwa namfahamu hata kidogo.
“laiti ningejua hakuwa Dr Ben nisingemkubalia kabisa kufanya naye mapenzi,” nilijiongelea kimoyomoyo nikijua hata hivyo mimi ndiye mkosaji kwa kuwa Mr X alikuwa mara kwa mara akinisisitiza kuwa yeye hakuwa Dr Ben mimi ndiyo nikakataa.
Nikawaza niondoke au nibaki.
ITAENDELEA JUMATATU
ITAENDELEA JUMATATU




No comments:
Post a Comment