HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » » WAZIRI PROF. MBARAWA AZUNGUMZA NA BALOZI WA HISPANIA OFISINI KWAKE.

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Balozi wa Hispania nchini Tanzania Bw. Felix Costales (katikati), akijadiliana jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi mdogo wa nchi hiyo jijini Nairobi, Bi. Rocio Kessier.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia), akisisitiza jambo kwa Balozi wa Hispania nchini Tanzania Bw. Felix Costales, wakati alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi mdogo wa nchi hiyo jijini Nairobi, Bi. Rocio Kessier.
Balozi mdogo wa nchi hiyo jijini Nairobi, Bi. Rocio Kessier (kushoto), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa walipokutana ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: