HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » TAZAMA HAPA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA BAADA YA MECHI YA LEO YA SIMBA NA YANGA

Baada ya mchezo wa leo wa KariakooDerby Simba imeendelea kujichimbia kileleni kwa kufikisha pointi 62 baada ya kucheza michezo 26. Yanga wapo katika nafasi ya 3 wakiwa na pointi 48 lakini wana michezo miwili mkononi (viporo). Sasa Simba inahitaji pointi 5 kutawazwa mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara kwa msimu wa 2017/18.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: