CHECK OUT: MY GRADUATION YA KUPOKEA DEGREE YA KWANZA KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Mandalizi yalianza meza kuu
Prof. Idrisa Kikula (kulia) akibadilishana mawazo


Maandamano yalianza kama yalivyopangwa
Deputy Vice Chancellor Planning, Finance and Administration Chuo Kikiku cha Dodoma  Prof. Shaaban A.K. Mlacha alikua akimuongoza Chancellor kwenye maanadamano ya mahafari ya chuo kikuu cha Dodoma

Maandamano yakiendelea

Chancellor wa Chuo Kikuu cha Dodoma  Mh.Benjamin William Mkapa akiongoza maandamano

Chancellor wa Chuo Kikuu cha Dodoma  Mh.Benjamin William Mkapa (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Bodi Doct. Juma Mwapachu
Kadaso (kushoto) akiwa na Katuma (kulia) wakati wa mahafari yaliyofanyika jana
Kadaso (kulia) akiwa na Imma (kushoto) wakati wa mahafari yaliyofanyika jana


Nilikua na wenzangu maana nimetokanao mbali








George ( kushoto) na Geofrey (mmiliki wa Pamoja blog) tulikua tunapongezana baada ya kutunukiwa shahada ya kwanza

Nilikua nampongeza ndugu yangu maana wote tunaipenda liverpool bado tunasema "you will never work alone"
Aneth akiwa katika furaha baada ya kutunukiwa shahada ya kwanza  BA in Political Science and Public Administration
Nilikua nasubilia kutunukiwa Shahada yangu ya kwanza BA in Project Planning, management and community Development



Hawa ni watu waliouthuria kwe mahafari ya tatu ya chuo kikuu cha dodoma

Powered by Blogger.