WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 WATEMBELEA KATIKA KIJIJI CHA SAADANI

Washiriki wa  Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika nyumba za wanakijiji wa Saadani
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika pori dogo la Saadani National Park

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa na watoto kaika kijiji cha Saadani

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wakifurahia kuembelea katika kijiji cha Saadani

  Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiendelea na ziara  
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanawapungia wanakijiji mikono
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakipata maelezo ya safari


Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakipandisha kilima kuelekea kijiji cha Saadani
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika moja ya gofu la kihistoria ndani ya kijiji cha Saadani


Ndugu Jumanne ambaye ndiye alikuwa muongozaji wa msafara akielezea jambo katika ufukwe wa Bahari ya Hindi

No comments

Powered by Blogger.