PROFESA WA UDSM ALIYEPIGWA RISASI AZIKWA JIJINI DAR

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

 Mwili wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Athuman Livigha ukiwasili nyumbani kwake Bunju jijini Dar jana.
Mwili wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Athuman Livigha, aliyefariki dunia baada ya kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi nyumbani kwake, Bunju jijini Dar es Salaam umezikwa jana.
Marehemu aliuawa uSeptemba 30, mwaka huu majira ya saa 3 usiku akiwa nyumbani kwake. 
 Mwili wa Profesa Athuman ukiingizwa nyumbani kwake Bunju, Dar.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa Rwekaza Mukandala (wa pili kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe (wa tatu kushoto) msibani kwa Profesa Athuman.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu.

(PICHA: GPL)

No comments

Powered by Blogger.