PICHA: MWILI WA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA WAWASILI MJINI SONGEA, TAYARI LEO KWA MAZIKO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM marehemu John Damiano Komba ukipokelewa katika uwanja wa ndege wa Songea na umati  mkubwa wa waombolezaji wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mhe. Mwambungu, Mhe. John Nchimbi, Mbunge wa Songea Mjini, na Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Mark Mwandosya, kulia. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kijijini kwake Lituhi, Wilaya ya Nyasa, mapema leo Machi 3, 2015.

No comments

Powered by Blogger.