FFU walivyo fanya kweli International African Festival,Tubingen


 Gwaride la FFU.
 FFU wakishambulia ,Tubingen 2012.
Chris-B,Soloist.
Bassist wa FFU na mtutu wake.
 FFU wakiwa kazini Tubingen.
 FFU wa Ngoma Africa wakitembeza mitutu, Tubingen 2012.
Jukwaa la FFU limevamiwa na washabiki.
 Kamanda Ras makunja na Award akipongezwa na mdau.
Ras Makunja na award,akipongezwa na wadau.
--
FFU wa Ngoma Africa  band walipofanya kweli katika maonyesho ya International African Festival, mjini Tubingen,Ujerumani siku ya jumamosi 11.08.2012, Pia maonyesho hayo yaliambatana na sherehe za tuzo la "IDA- International Diaspora Award"  mshindi wa Tuzo hiyo ni Ngoma Africa band, ambayo imechaguliwa kuwa ndio bendi bora ya kiafrika iliyofanya kazi nzuri ya kuutangaza mziki wa kiafrika kwa kasi na kujizolea mamilioni ya washabikikatika kila kona diniani.
 
Tuzo hiyo ya "IDA-International Diaspora Award" ambayo imekabidhia kwa kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja wa FFU,Wasikilize at  www.ngoma-africa.com pia ungana nao atwww.twitter.com/ngomaafrica

No comments

Powered by Blogger.