KESHO SHOO ZA WASANII WAKONGWE WA MUZIKI TANZANIA MWANA FA NA LADY JAYDEE ZITAFANYIKA AU ZITAHAIRISHA?

Lady Jaydee                                                                       Mwana FA    
                                     
Kutokana na kutokea kwa msiba wa ghafla wa msanii wa HipHop Langa Kileo a.k.a Langa leo jioni na maandalizi ya shoo zote ya wasanii wa Bongo Fleva, Lady Jaydee na Mwana FA yameishafanyika ikiwa shoo ya Lady Jaydee ikifanyika nyumbani Loudge na shoo ya Mwanan FA inafanyika kwenye viwanja vya Makumbusho yaliyopo Posta. Kikubwa ni kujiuliza je hizi shoo zitakuwepo wakati kuna msiba au zitahairishwa?

No comments

Powered by Blogger.