TIMU YA LIVEPOOL YAFANYA MIPANGO YA KUPANUA KIWANJA CHAO CHA MPIRA

Anfield imekuwa ikisimamia kwenye watu 45,362, tofauti na viwanja vikubwa kama Old Trafford na Emirates Stadium, ila baada ya marekebisho uwanja mpya utaweza kupokea watu 58,800 kitu kitakachofanya uwe na namba 3 kwa ukubwa kwenye viwanja vya Premier League ukiwa umepitwa kidogo na uwanja wa Arsenal.
Liverpool wakiweza kukamilisha mipango yao na kupata kibali basi kazi itaanza mwanzo wa mwaka 2015, na mabadiliko ya Anfield yataonekana kwa mara ya kwanza mwanzo wa mwaka 2016 au kwenye msimu wa ligi wa mwaka 2017.

ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI





No comments

Powered by Blogger.