YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO-CHADEMA MKOANI IRINGA MJINI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Wazungumzaji wakuu kutoka kulia ni Prof Safari-Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Salim Mwalimu-Naibu katibu mkuu CHADEMA-Zanzibar(Kulia) na Dr Wilbroad Slaa-Katibu mkuu CHADEMA Taifa (Katikati), Mch Peter Msigwa-Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini na Patrick Ole Sosopi-Makamu Mwenyekiti BAVICHA.

Hawa ni wananchi wa manispaa ya Iringa waliojitokeza kwenye mkutano huo
Picha na Mathias Canal (P.T)

No comments

Powered by Blogger.