UDSM KUIWAKILISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA UENDESHAJI KESI BANDIA (MOOT COURT) WASHINGTON, MAREKANI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 



 Msajili wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR), Dk Eno Robert akizungumza kabla ya kutangaza matokeo ya mashindano ya uendeshaji wa Mahakama kwa wanafunzi wa Vyuo(Moot Court) yaliyofanyika katika Mahakama hiyo jijini Arusha.
 Wanafunzi wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Saalam(Udsm)kutoka kushoto,Emmanuel Bakilana,Jacob Muheesi,Alicia Atukunda na Adela Msofe wakiwa hawaamini ushindi wao dhidi ya Chuo Kikuu cha Saint Augustine(Saut)Mwanza.



Wanafunzi wa Chuo cha Udsm wakipongezana na Sauti baada ya kutangazwa matokeo ambayo yanawawezesha wanafunzi wa Udsm kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa Washington,Marekani.
 Msajili wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Dk Eno Robert(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na waandaji wa mashindano hayo pamoja na washiriki. 

No comments

Powered by Blogger.