Mkutano kuhusu Mchango wa Utumishi katika Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka 5 wafanyika jijini Dar es salaam

IMG_0874
Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dokta.M.Lumbanga na Katibu Mkuu-Utumishi mstaafu Bw. J.Rugumyamheto wakibadilisha mawazo na Kaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw. HAB Mkwizu, pamoja na wajumbe wengine wakati wa mkutano kuhusu Mchango wa Utumishi katika Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano uliofanyika tarehe 29-30 Aprili,2013 Dar es Salaam Serena Hotel.(Picha na Full Shangwe)
IMG_0909
Katibu Wakuu Viongozi wastaafu Bw.P.Luhanjo (kushoto) na Dokta.M.Lumbanga (kulia), katikati ni Katibu Mkuu-utumishi mstaafu Bw.J.Ruguyamheto wakisikiliza mada wakati wa mkutano kuhusu Mchango wa Utumishi katika Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano uliofanyika tarehe 29-30 Aprili,2013 Dar es Salaam Serena Hotel.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (MB) akiongea na vyombo vya habari baada ya kufungua mkutano kuhusu Mchango wa Utumishi katika Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano uliofanyika tarehe 29-30 Aprili,2013 Dar es Salaam Serena Hotel. IMG_0993 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (MB) mstari wa kwanza katikati  akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano kuhusu Mchango wa Utumishi katika Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano uliofanyika tarehe 29-30 Aprili,2013 Dar es Salaam Serena Hotel.

No comments

Powered by Blogger.