PICHA YA LEO: HII NI KWA WALE WADADA WANAOKAA MUDA MWINGI KWENYE VIOO WAIGE MFANO WA HUYU DADA

Fundi wa kike akipaka rangi moja ya nguzo zilizopo pembezoni mwa jukwaa kuu la viongozi litakalotumika kwa ajili ya maegesho ya magali, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya maonyesho ya wakulima maarufu kama Nanenane yatakayoadhimishwa kitaifa Nzuguni Mkoani Dodoma.  

No comments

Powered by Blogger.