KAMA HUJAWAHI KUONA HOTEL ILIYOJENGWA KWA BARAFU BASI ITIZAME HAPA

Adrian Günter alijenga hotel hii ya Igloo mwaka 1996 ambayo iko kwanye milima kwa ajili ya watu waopita kwenye vijiji saba vilivyoizunguka Andorra, Switzerlanda na Ujerumani kwamba wakifika eneo hili iwe kama mapumziko baada ya safari ndefu.Hoteli hii ufurika watu mpaka kufikia watu elfu 10 kwani kuna watu wengi ambao utembelea wakati sikukuu ya Chrismass. 
Licha ya watu kutebelea kwenye hoteli hii ila kuna onyo kwa watoto wenye miezi chini ya 19 na wazee wenye miaka kuanzia 83 na kuendelea hawaruhusiwi kuingia kwenye hotel hii maana barid ni kubwa na linaweza kuleta madhara kwao
Huu ndio mwonekano wake kwa juu

Wageni wakiwa kwenye mojawapo ya chumba kwenye hotel hiyo


Endelea kutizama picha hizi kwa kubofya hapa chini

Hiki ndicho mojawapo ya chumba na sehemu unayoiona ina rangi nyekundu hapo ndo kuna kitanda na hayo ndio mashuka yake











CHANZO: PIX GROVE

No comments

Powered by Blogger.