POLISI WAKAMATA MENO YA TEMBO UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE
Kamanda wa Polisi wa Uwanja wa
Ndege wa Julius Nyerere jijini Dares Salaam, ndugu Katto akionesha meno
ya Tembo yaliyokamatwa yakiwa yametengenezwa mithili ya bangili tayari
kwa kusafirishwa.
Kamanda Katto akionesha meno ya tembo yaliyotengenezwa kama vijiti.
Juzi Agost 16 mwaka huu majira ya saa 10:46 jionI polisi jijini Dar
walimkamata raia wa Vietnam aitwaye Nguyen Fanichati akiwa na meno ya
Tembo, Tukio hili lilitokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere, Meno hayo yaliyokuwa yamefichwa ndani ya sanduku
yalitajwa kwa ujumla kuwa na zinathamani ya Tsh. milioni 18.4.
SOURCE: GPL
Post a Comment