VIONGOZI WA CHADEMA WAFANYA ZIARA BUKOBA MJINI, WAWATAKA WATANZANIA KUJADILI RASIMU YA KATIBA MPYA

Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA akiwemo Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika, Tundu Lissu walipowasili eneo la Uhuru Platform mjini Bukoba kufanya mkutano wa hadhara
Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA akiwemo Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika, Tundu Lissu walipowasili eneo la Uhuru Platform kufanya mkutano wa hadhara mjini Bukoba
(Picha na habari Faustine Ruta, bukobasports.com)
Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA ikitua chini na hapa wanafunguliwa mlango kutoka nje tayari kufanya mkutano wao ambao ni mwendelezo wa mikutano yao kanda ya ziwa swala zima Kutoa maoni katiba mpyaViongozi wa Chadema na mbele ni Mh.Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe akiwapungia wananchi mkono
 Endelea kusoma habari hii ka kubofya hapa chini
 
Viongozi wa Chadema waliotua punde wakielekea jukwaa kuu

Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika, Tundu Lissu walipowasili eneo la Uhuru Platform Mkoa wa Kagera kufanya mkutano wa hadhara mjini Bukoba (Picha na habari Faustine Ruta, bukobasports.com)
Furaha za wadau wao wakakutana nazo njiani wakisonga jukwaa kuu...

Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika

Mh. Freeman Mbowe kulia na kushoto ni Mh.Tundu Lissu




Viongozi mbalimbali wa Chadema
(Picha na habari Faustine Ruta, bukobasports.com)
Diwani wa Chadema (Rwamishenye) Bukoba

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akijiweka sawa kabla ya kuongea na wananchi.

Mbunge wa Singida Mashariki-Chadema Tundu Lissu

Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika

Umati wa watu uliokusanyika kwenye viwanja vya Uhuru platform



Mwenyekiti wa Chama cha Domekrasia na maendeleo (CHADEMA) Mh.FREEMAN MBOWE amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kujadili Rasimu ya Katiba mpya ili ipatikane Katiba itakayokidhi haja ya Watanzania.

Amesema hayo alipokuwa akiwahutubia wakazi wa Bukoba mkoani Kagera alipokuwa kwenye ziara ya kichama kuhamasisha wanachama wa chama hicho kuunga mkono kuwepo na Serikali tatu ndani ya Jumuiya ya Muungano wa Tanzania.



Mbunge wa Singida Mashariki-Chadema Tundu Lissu Aunguruma Mbele ya Mamia ya Wafuasi wa Chadema Bukoba.

No comments

Powered by Blogger.