UFO SARO BADO YUKO KATIKA CHUMBA CHA UPASUAJI MHIMBILI

IMG_0031Picha za chini ni baadhi ya Wafanyakazi wenzake na Ufo Saro kutoka IPP pamoja waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa wamepiga kambi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili ambako Ufo Saro mpaka sasa yuko katika chumba cha upasuaji  baada ya kupigwa risasi na mchumba wake Anteri Mushi usiku wa kuamkia leo ambapo pia alimpiga mama mzazi wa Ufo Saro Anastazia Peter Saro miaka 59 aliyefariki hapohapo  na baadae kujipiga risasi mwenyewe na kufa hapohapo, Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Mbezi Luisi
1 
 
 ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
 
  2Wafanyakazi hao wakibadilishana mawazo hapa na pale katika hospitali ya Muhimbili leo hii 3 4Picha Kwa Hisani ya Fullshangwe Blog

No comments

Powered by Blogger.