MSANII MKONGWE EBBY SYKES AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mwili msanii mkongwe, Ebby Sykes ukifikishwa kwenye makaburi ya Kisutu kwa ajili ya mazishi yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Dully Sykes (wa pili kushoto) akiwa ndani ya kaburi la baba yake mzee Ebby Sykes wakati wa mazishi yake.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Mwili wa marehemu ukiwa tayari kwa mazishi
 Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa msanii mkongwe mzee Ebby Sykes aliyezikwa leo kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Said Meck Sadick akiweka udongo katika kaburi la msanii mkongwe mzee Ebby Sykes.
 Mbunge wa Chalinzi, Mh. Riziwani Kikwete akiweka udongo.
 Mmoja wa wanafamilia kiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa msanii Mwili msanii mkongwe, marehemu Ebby Sykes.
 Kaburi la marehemu Ebby Sykes likiombewa baada ya kufanyika maziko 
 Kaka wa Marehemu akitoa neno la shukrani kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye mzishi ya ndugu yao marehemu Ebby Sykes
 Mahdi Muharami aliyekuwa anaongoza dua  
 Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman (katikati) akiwa na aliyekuwa mbunge wa Nyamagana Mh. Lawrence Masha(wa kwanza kushoto) kwenye mazishi ya aliyekuwa msanii mkongwe Marehemu Ebby Sykes
 Msanii wa mziki wa kizazi kipya, C Pwaa( wa pili kutoka kulia) akiwa kwenye mazishi ya Baba mzazi wa Dully Sykes yaliyofanyika leo kwenye makaburi ya kisutu jijini Dar
 Msanii wa mziki wa kizazi kipya, Kala Jeremiah (katikati) akiwa na wasanii wenzake kwenye mazishi ya msanii mkongwe mzee Ebby Sykes
 
 Baadhi ya jamaa na marafiki waliofika kumpumzisha aliyekuwa msanii mkongwe mzee Ebby Sykes aliyezikwa katika makaburi ya Kisuti jijini Dar
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Mohamed Chande Othman (kulia)  akisalimiana na mmoja wa  wazee waliofika kwenye mazishi ya msanii mkongwe mzee Ebby Sykes

No comments

Powered by Blogger.