AKUTWA AMEJINYONGA NDANI YA NYUMBA YAKE HUKO MBEYA

Mkazi wa Mafiati mtaa wa Maanga jijini Mbeya bwana Ally Msoke amekutwa amejinyonga nyumbani kwake
Mwili wa marehemu Ally Msoke baada ya kutolewa na kufunikwa ili kupelekwa hospitali kwa uchunguzi zaidi
Mwili wa marehemu Ally Msoke ukiwa umelazwa kwenye mkeka baada ya kutolewa nje ya nyumba yake
 Baadhi ya majirani waliokuja kushuudia mwili wa Ally Msoke aliyejinyonga mpaka sasa haijajulikana sababu iliyosababisha mpaka kujinyonga.


PICHA KWA HISANI YA KAMANGA

No comments

Powered by Blogger.