MAGARI MAWILI YAGONGANA MAFIATI MKOANI MBEYA

Wakazi wa eneo la Mafiati, Mkoani Mbeya wakishuhudia ajali iliyotokea katika eneo hilo  baada ya magari madogo mawili moja likiwa ni Mazda yenye namba za usajili T935 BJP na gari nyingine Toyota Gaia ambayo namba zake hazikupatikana kwa haraka
Gari yenye namba za usajili T 935 BJP ikiwa imeharibika vibaya mara baada ya kugongana na gari nyingine ndogo aina ya Toyota Gaia (haipo pichani) katika eneo la Mafiati Mkoani Mbeya. Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
 
Wakazi wa Mafiati Mbeya wakilitazama gari aina ya Mazda yenye namba za usajili T935 BJP jinsi ilivyoharibika mara baada ya kupata ajali kwa kugongana na gari ndogo aina ya Toyota Gaia katika Eneo la Mafiati Mkoani Mbeya.
 Wakazi wa Mafiati wakilitazama Gari aina ya Toyota Gaia ambazo namba zake hazikuweza kupatika kwa haraka mara baada ya kugongana na gari aina ya Mazda katika Eneo la Mafiati Mkoani Mbeya.
 Gari aina ya Toyota Gaia ikiwa imeharibika pembeni kama inavyoonekana katika picha. Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog - Mbeya

No comments

Powered by Blogger.